BBS,Kizwite Street, Sumbawanga, TZ info@beibilastress.co.tz
Tufuate:

Bei Bila Stress

Sisi ni kampuni inayo jishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi na maendeleo kama ifuatavyo:

Usagaji wa nafaka

Uwakala wa huduma za fedha

Uuzaji wa vyombo / vifaa vya nyumbani

Uuzaji wa vinywaji

Uuzaji wa mbolea

Kilimo cha mazao mbalimbali kama mahindi,Alizeti na maharage

Huduma za mapambo

Ufugaji wa nyuki

Ufugaji wa mifugo kama vile ng'ombe,mbuzi,kondoo na nguruwe

Endelea

Sifa zetu

Kampuni yetu imekuwa ikisifika kwa sifa mbali mbali kama ifuatavyo

Punguzo la Bei

Tumekuwa tukitoa punguzo kubwa la bei kwa wanunuzi wa bidhaa dukani kwetu

Soma Zaidi

Zawadi na Promosheni

Kampuni yetu hutoa ofa maalum katika vipindi mbalimbali vya mwaka

Soma Zaidi

Ushauri wa Kitaalamu

Kampuni yetu hutoa huduma nzuri ya ushauri wa kitaalamu kwa wateja wetu, na uaminifu wa kudumu.

Soma Zaidi

Bidhaa Zetu

Tunazo bidhaa nyingi mbalimbali kwa ajili ya matumizi kama vile

Ipo
Mbolea TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Nguruwe wa Duroc TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Mbuzi wa Galla TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Vyombo TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Wakala TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Mapambo TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Nafaka TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Alizeti TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Alizeti TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Fresh Tomato TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Fresh Tomato TZS 0.00 TZS 0.00
Ipo
Fresh Tomato TZS 0.00 TZS 0.00

Maoni ya Wateja

Yafuatayo ni baadhi ya maoni ya wateja waliofika kujipatia bidhaa dukani kwetu